First of all napenda kumshukuru Mh.Nape Nauye kwa kuacha kazi na majukumu yake mengi na kuwa mstari wa mbele katika kufanikisha uzinduzi huu wa SIKITU ASANTE SANA.Thank you all for coming kwenye my movie premier..nashukuru sana,pia napenda kuwa shukuru wasanii wenzangu kwa ushirikiano wenu mlionipa siwezi kuwa tag wote ila thank you so much..I appreciate.let me be honest..it was beyond my expectation...sasa kweli nimeamini watanzania wanapenda vya nyumbani.ASANTENI SANA#sikituwendomchiziwangu
Sikitu Movie Trailer here