Zari The Boss Lady Na Diamond Platnumz wapata Mtoto wa Kike, Anaitwa Tiffah




Staa wa Bongo Fleva ambaye jina lake limebeba uzito mkubwa Afrika, Diamond Platnumz anayo furaha kushare na sisi hii good news… Post yake Instagram inasomeka hivi >>> ‘My mom’s face it’s enough to Express how i feell… Welcome to the world @princess_tiffah Sura ya mama yangu inatosha kueleza ni kiasi gani najiskia ndani ya Moyo wangu… karibu kwenye ulimwengu@princess_tiffah‘ >>>> @diamondplatnumz


Drop Your Comment Here


Related Posts