President John Pombe magufuli and his wife have contributed 10 Millions to Bernadeta Msigwa

President John Pombe magufuli and his wife have contributed 10 Millions to Bernadeta Msigwa, President Magufuli has been in touch with a girl Bernadeta who has got the problem of eye, and she needs 30 Million Tanzanian shillings so that she can go to make surgery and continue with her studies.if also you as a Tanzanian have in touch you can contribute here 0742848729
Moja kati ya binti #Kipepeo @BernadetaMsigwa ambae alikuwa mwaka wa mwisho kumaliza degree yake kwenye chuo cha Mzumbe (Morogoro), lakini kwa bahati mbaya macho yake yakapoteza uwezo wa kuona na ikabidi asogeze mbele masomo yake hadi apone.
Tatizo lake linatibika na anahitaji milioni 30 ili aweze kuona tena, Mimi na wewe tumsaidie binti #Kipepeo huyu aweze kuona tena, kama unataka maelezo zaidi kuhusu jinsi ya kumsaidia piga namba 0742848729. Pia unaweza kuangalia story yake kamili kwenye account hii @BernadetaMsigwa.
#Kipepeo
#MimiNiKipepeo
Bernadeta on the right handside with casto dickson Television presenter of clouds

Drop Your Comment Here

Related Posts

Previous
Next Post »